Lengo la Idara hii ni kusimamia na kuimarisha Mifumo ya usajili ya Tehama.
Majukumu ya Idara:
Idara hii inaongozwa na Mkurugenzi na ina Divisheni mbili (2) kama ifuatavyo:
Majukumu ya Ofisi: Ofisi itakuwa na jukumu la kuratibu na kusimamia wa utekelezaji wa kazi za BPRA kwa upande wa Pemba,Ofisi hii inaongozwa na Naibu Mrajis dhamana
Majukumu ya Ofisi: Ofisi itakuwa na jukumu la kuratibu na kusimamia wa utekelezaji wa kazi za BPRA kwa upande wa Pemba,Ofisi hii inaongozwa na Naibu Mrajis dhamana 1 Divisheni ya Usajili wa Ubia Na Biashara ya Mtu Mmoja Majukumu:
i. Kusajili Ubia na Biashara ya Mtu Mmoja kwa mujibu wa sheria husika; ii. kutoa taarifa za usajili wa Taasisi za biashara kwa mujibu wa mahitaji; iii. Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka; iv. Kuandaa bajeti ya mwaka ya Divisheni; v. Kushiriki katika utekelezaji wa sera zinazohusiana na Divisheni; vi. Kufanya tathmini za utendaji za Wafanyakazi walio chini ya Kitengo chake kwa uwazi na ukweli na kuwasilisha kwa mamlaka husika; vii. Kumshauri Mkurugenzi wa Idara ya Biashara kuhusiana na usajili wa kazi za Divisheni;
Kufanya usajili wa tasnia za mali bunifu kwa mujibu wa sheria husika;
Kutoa taarifa na takwimu za kazi mali Bunifu;
Kusimamia katika uthibitishaji wa nyaraka za mali bunifu
zinazotakiwa kusajiliwa kwa mujibu wa taratibu;
Kutoa taarifa za usajili wa Mali bunifu kwa mujibu wa mahitaji;
Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka;
Kuandaa bajeti ya mwaka ya Divisheni;
Kushiriki katika utekelezaji wa sera zinazohusiana na Divisheni;
Kufanya tathmini za utendaji za Wafanyakazi walio chini ya Kitengo
chake kwa uwazi na ukweli na kuwasilisha kwa mamlaka husika;
Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji namna bora ya utekelezaji wa kazi
za usajili wa mali za BPRA;
Divisheni hii inaongozwa na Msaidizi Msajili
Divisheni hii inaongozwa na Msaidizi Msajili
Kusimamia na kufanya usajili wa kampuni zinazoendesha biashara kwa mujibu wa sharia;
Kusimamia na kufanya usajili wa mashirika ya Serikali yaliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria;
Kusimamia kazi za ufilisi wa kampuni zilizosajiliwa Zanzíbar;
Kusimamia usajili wa hesabu za mwaka kwa mujibu wa sheria husika;
Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka;
Kuandaa bajeti ya mwaka ya Divishen
Kuratibu utekelezaji wa sera zinazohusiana na Divisheni;
Kufanya tathmini za utendaji za Wafanyakazi walio chini ya Kitengo chake kwa uwazi na ukweli na kuwasilisha kwa mamlaka husika;
Kumshauri Mkurugenzi wa Idara ya Biashara kuhusiana na kazi za Divisheni;
Divisheni hii inaongozwa na Msaidizi Msajili: