Previous
Next
Khamis Juma Khamis
Executive Director

Zanzibar Business and
Property Registration Agency

Karibu katika tovuti hii ya Wakala wa Usajili wa Biashara na mali (BPRA). Katika tovuti hii utapata taarifa kuhusu huduma zinazotolewa na BPRA, njia za mawasiliano, mitandao yetu ya kijamii, taarifa na matukio mbalimbali yanayotokea katika Taasisi hii, Lengo ni kuhakikisha kuwa taarifa zote muhimu zinazohitajika zinapatikana katika tovuti hii ili kukuwezesha kuwa na uelewa mpana wa majukumu na huduma zitolewazo na BPRA.

Majukumu ya BPRA ni pamoja na kusajili Makampuni, Majina ya Biashara, Alama za Biashara,Nyaraka na Kusimami mirathi kwa wasio kuwa waislamu, BPRA Ipo tayari ya kusikiliza na kutoa huduma bora ili kufanikisha lengo.

Ni matumaini yetu kwamba tovuti hii itasaidia upatikanaji wa taarifa zote zinazohitajika katika kukuwezesha kurasimisha biashara yako. Endapo hautapata taarifa unazohitaji, tafadhali usisite kuwasiliana nasi kupitia namba zetu za simu, barua pepe, mitandao ya kijamii au kufika katika ofisi za BPRA zilizopo Mazizini Zanzibar.

MEET OUR TEAM

KHAMIS JUMA KHAMIS

Executive Director

Director

Of
Info Tech & System

Director

Of
Public Administration

Acting Asst. Registrar

of
Firm

Asst. Registrar

of
Company

Asst. Registrar

of
Documents

Asst. Registrar

of
Industrial Property

OUR LATEST NEWS

BPRA

African Regional Intellectual Property Organization (ARIPO) hosted Member and Observer States for a Workshop on the Accession to ARIPO Protocols in Balaclava

Waziri wa Biashara na Viwanda

Mhe. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda akifungua mkutano sera za mali ubunifu.

Kaimu Mkurugenzi BPRA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akitoa hotuba ya sera za Mali ubunifu katika ukumbi wa hotel ya marumaru

OUR PARTNERS
USER GUIDE FOR ORSZ
Firm
Documents
About Us
Contact Us
CONTACT US
USER GUIDE FOR ORSZ
Firm
Company
Documents
About Us
Contact Us
Registrar Mail

©2023 - Zanzibar Business and Property Registration. Developed by: CMB

Terms and Conditions / Privacy and Policy